IQNA – Akiwatakia heri ya Idul Adha Waislamu kote duniani, Khatibu wa Swala ya Idi iliyosaliwa leo Tehran ameielezea Idihii tukufu kuwa ni sikukuu ya umoja wa Ummah wa Kiislamu, na maadhimisho ya ibada na kujisalimisha kwa Mola.
Habari ID: 3480797 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/06
TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameshiriki katika swala ya Idul Fitr baada ya kukamilisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472797 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/24